APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KAWE BEACH
APART NZURI YA KISASA
YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala viwili ni #Master #Sebule kubwa#Jiko lenye #Makabati
#Choo/Bafu vya public#Vyandani
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
KODI USD 1300
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @mo_dalali
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!