ANGALUZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya mwezi-1.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.20,000.
Chumba kimoja ni Masta.
Pia ina Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Luku ya pekeyake.
Parking kubwa salama ipo.
Umbali wa mwendo wa Dakika 10 kwanza miguu kutoka Barabara ya Morogoro
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!