Nyumba ipo umbali wa kilomita 1.3 kutoka Barabara ya Morogoro/Mwendo kasi.
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi-1.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.20,000.
_____________'
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTA.
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
INA TILES NA SLIDE WINDOW
GYPSUM NA PAVING BLOCKS
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIKO TATU COMPOUND MOJA.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!