STUDIO FURNISHED APART INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH AFRICANA
UPANDE WA CHINI ROUND ABOUT YA WHITE SAND
FURNISHED TAMU YA KISASA
STUDIO YA KIBACHELA
YENYE;-
Chumba kimoja tu kikubwa cha kulala ambacho ni Master yenye AC, Heater ya maji moto, Dry clean machine, Kitanda, Soffer set, Meza plus Open Kitchen nzuri, Balcony
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Standby Generator
Nje Pavingblocks
FencedApart
KODI U$D 350 KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 3
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA NUSU MWEZI MMOJA WA @dalaligodfrey1
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!