#VYUMBA_VITATU
ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND
IKO MBEZI BEACH TANGI BOVU
BEI NI LAKI 750,000/= KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6 Pamoja na Mwezi mmoja wa
Ni vyumba vitatu vya kulala, Kimoja ni Masta Yenye kabati, Public Toilet Ya ndani, Sebule kubwa, dinning na Jiko zuri la kisasa
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!