6. Apr, 16:04
Utambulisho wa Tangazo 2649345
TSh 350,000

Apartment for rent at Mbezi Goba

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
Maelezo

#Apartment for rent at Mbezi Mwisho via Goba road; 300k
;
;
#Hii nyumba ni mpya kabisa ina vyumba 2 vikubwa Sana vya kulala ila HAKUNA MASTER, Kuna choo kizuri cha familia, sebule, jiko zuri open kitchen linafungwa makabati, hii apartment inajitegemea kwa kila kitu kuanzia umeme wake na mita yake ya maji Dawasa, kwenye fensi moja zipo apartment 3 na hii moja ndio imebakia,
;
;
#zipo Mbezi Mwisho njia ya lami kuelekea Goba kutoka Main road dk 5 t kwa kutembea
;
;
#kodi 350,000/= × 4
;
;
#Malipo ya dalali Festo ni hela ya mwezi mmoja 350,000/=
;
;
#service charge 20,000/=

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Festo
Mwanachama tangu 31. Ago '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!