APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
MAHALI :SINZA MAWASILIANO
MAELEZO : HII NI NYUMBA YA VYUMBA VIWILI , SEBURE NA JIKO. INA TILES , GYPSUM NA SLIDING WINDOW. CAR PARKING IPO. INA COMPOUND YAKE YENYEWE . INAJITEGEMEA LUKU NA MAJI. INA SEBURE KUBWA SANA ,, DINNING NA JIKO KUBWA SANA.
KWENYE FENSI ZIKO TATU
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!