NICE APARTMENT FOR RENT
,
#Vyumba 2 vikubwa Sana vya kulala (kimojawapo ni master), sebule kubwa, jiko kubwa la kisasa lenye makabati na vyoo vizuri Sana vya kisasa
,
,
#kila apartment inajitegemea kwa kila kuanzia umeme wake na mita yake ya maji Dawasa na inayopangishwa ni ya juu gorofani
,
,
#zipo Kimara Stop Over upande wa kulia km unaenda Mbezi na kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1
,
,
#kod 350,000/= × 6
,
,
#malipo ya dalali ni hela ya mwezi mmoja 350,000
,
#service charge 20,000
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!