#NICE APARTMENT FOR RENT
,
,
#Hii nyumba ya kisasa kabisa ina vyumba 3 vya kulala (kimojawapo ni master), sebule kubwa sana, Jiko kubwa la kisasa, heater ya maji moto na baridi, paving, garden,
#Ipo MBEZI kwa MSUGURI upande wa kushoto kama unaenda Mbezi na kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 4 tuu kwa miguu
#Kodi 500,000 × 6
#malipo ya dalali ni hela ya mwezi mmoja 500,000
#service charge 20,000
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!