Android TV box.
Kama TV yako siyo Android Smart TV basi ukitumia kifaa hiki kitaipa uwezo TV yako kua Smart Android TV.
Unaweza kuingia YouTube , Google , Netflix , unaweza ku download Movie n.k.
Na unaweza kutumia TV yako kama laptops, unaweza kutumia mouse wireless au wire.
Na uweza kuwamisha vitu vya kwenye yako vikaonekana kwenye TV Wireless
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!