Free delivery city centre
Amazon fire tv mpya kwa wale wanaotaka kubadili TV zao zisizo smart kuwa smart tv na wale wenye smart tv Ila wanataka apps nyingi zaidi za android.
Ina uwezo wa kuingia apps zote za android iwe movies, mpira, miziki etc zitakubali.
Pia ina Alexa ambayo inakuwezesha kuicontrol tv yako kwa sauti tu.
Bila kusahau ni ndogo kama flash, ukiweka kwenye TV inajificha, haiharibu design ya sebule/chumba chako.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!