10. Mei, 14:18
Utambulisho wa Tangazo 2852856

AFYA YA JAMII

Ilala, Buguruni Dar Es Salaam
Maelezo

FAHAMU KWANINI WATU WENGI WANAHAINGAIKA NA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME!!!!
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

1.Kuwa na lehemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
4.Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
5.Kujichua/Punyeto
6.Magonjwa kama kisukari, vidonda vya tumbo, bawasiri au ngiri
7.Kuwa na mawazo na wasiwasi
8.Matumizi ya madawa mbalimbali
9.Kuwa na tatizo la kibofu
10.Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

Kwa ushauri usiste kuwasiliana nasi kupitia Mawasiliano yetu hapo

Flora Marco
Flora Marco
Mwanachama tangu 10. Mei
Verified via:
Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!