6pcs Cooking set
✅Hii set ina sufuria 6.
✅Hizi sufuria ni kubwa.
✅Ni sufuria nzito na imara sana.
✅Material yake ni Aluminium.
✅Brand ni Nadstar.
✅Model ni 31-36
✅Kila sufuria ina mfuniko wake.
✅Ukubwa wa sufuria ni:-
☑️Lita 29
☑️Lita 31.5
☑️Lita 34.5
☑️Lita 37.5
☑️Lita 39.5
☑️Lita 40.5
Tsh 562,000 kwa zote 6.
Follow us on Facebook@EJHouseholds
Instagram@ejhouseholds
Delivery Available!!
.
#ej #ejutensils #ejtools
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!