Nyumba ya gorofa moja Kali sana ya kisasa
Nyumba ina sifa zoote muhimu.
Vyumba 3 juu master 1 na balcon kubwa nzuri ya kujipumzisha juu na sebule ya juu.
chini vyumba 2 Master moja siting room kubwa na daining jiko stoor na pablick toilet.
Chamba cha mazoezi na Cha kujisomea.
Nje Kuna madhari nzuri garden Safi na sweming pool.
Ina title did sqm 6,500.
Inauzwa na eneo lote.
Nyumba ipo Mbezi Salasala'. Kushoto ukitokea mjini.
C mbali na men road ya Salasala'.
Bei ni 1.4Bilion tsh.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!