17. Dec '20, 06:58
Utambulisho wa Tangazo: 2361084
TSh 130,000,000

5 Bdrm House for sale in mbezi.

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
No of bedrooms
5
No of bathrooms
3
Maelezo

BANGALOO FOR SALE

LOCATION:- MBEZI LUGURUNI KM UNAENDA KIBAMBA

DISTANCE:- 1.5 km from Morogoro road Barabara ipo vizuri sana hadi kwenye nyumba

NYUMBA KWA NDANI:- Ina vyumba 5 vikubwa Sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana na kila chumba kuna makabati, sebule kubwa sana, jiko kubwa la kisasa na choo kizuri cha familia na choo kingine Cha nje pia kuna mabanda ya kufugia kwa nje Kuna eneo ambalo ameotosha migomba na anavuna ndizi tuu,maji dawasco masaa 24,,eneo lote limezungushiwa ukuta

UKUBWA:- Eneo lina ukubwa wa sqmeter 1427

DOCUMENT:- Hati ya mauziano kutoka serikali ya mtaa,pia tunauza Nyumba za Biashara km Apartment za kupangisha na zenye kuwa na maduka na mafremu sehemu tofauti tofauti kwa maelezo zaidi tupigie simu.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Chriss Real Estate Agency
Mwanachama tangu 30. Jul '15
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!