NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI (KWA SUMAYE)
Nyumba iko kiluvya Madukuni (Anakokaa Mh Sumaye, inaangaliana na nyumba ya Mh Sumaye)
Nyumba ni kubwa imeishia katika lenta, ina vyumba 4 vya kulala, Choo na bafu la ndani, Sebule kubwa, Dinning room, Jiko, etc.
Nyumba iko kwenye kiwanja cha Sqm 625, pembeni kuna kiwanja cha Sqm 620.
Inauzwa Tsh 60,000,000. Kama unachukua nyumba na kiwanja chake Tsh kimoja cha Sqm 625 ni Tsh
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!