HOUSE FEATURES;
⛳Vyumba Vitatu(Kimoja ni Masta)
⛳Sebule kubwa
⛳Dinning
⛳Jiko
⛳Choo cha Public
⛳Bustani
⛳Eneo kubwa la Parking
?Nyumba Inajitegemea yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo. Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!