Nyumba nzuri mpya ya kisasa, ina vyumba 3vya kulala, ina chumba za ziada kama study room, plot size sqm 1300, clean tittle deed, sebule kubwa, garden ya kutosha, good neighborhood area, close to the main road and Bamba beach kibaoni.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!