Apartment ya vyumba 3 inapangishwa mikocheni ina sebule kubwa kitchen cabinet master bedroom public toilet parking ya gari ipo ya kutosha Apartment ni nzuri ya kuhamia
bei million 1 laki 5 malipo ni miezi 6
na Kodi ya mwezi mmoja ya dalali
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!