#VYUMBA_VITATU
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS
KODI TSHS LAKI 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
ZIPO 2 KWENYE COMPAUND
INAFAA HATA KWA MUHITAJI WA VYUMBA VIWILI
YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba Vitatu vya kulala #Kimoja ni Masta (Vyumba viwili si vikubwa, isipokuwa masta tu ndo kubwa) #Sebule kubwa #Dinning #Jiko zuri la kisasa #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#FencedHouse
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!