Microwave With Grill
*Brand yake ni Kenwood.
*Model yake ni MWL110.
*Ipo katika mfumo wa Digital.
*Ukubwa wake ni lita 20.
*Ni imara sana
*Inapasha chakula,inachoma nyama pia.
Tsh 255,000
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!