Tunaweza kukuletea ulipo ndani ya Tanzania kwa kulipia mafuta na ghalama za dereva
Toyota Caldina New Model ya mwaka 2006
Imeagizwa toka Japan March 2020
Ilipoagizwa ilikuwa na 177,000KM na sasa ina 193,000KM
Model CBA-ZZT241W Station Wagon
Ina cc 1790 tu
Inatumia Petrol
Injini ni vtti
Inatembea vizuri na haina shida yoyote
Mmiliki ni mmoja toka imeagizwa mpaka sasa
Imelipiwa kodi zote wakati ilipoagizwa
Haijawahi kukosa service
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!