Gari aina ya Toyato Rav 4 inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
Make -Toyota
Model -Rav 4
Year -2004
Doors -5
Seats -8
Engine size (cc) -1790
Number 0f Airbags -2
Fuel -Petrol
Color -Grey
Warranty: -No
New: -No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi:tembelea https://brbuyandsell.co.tz Tupo Amverton Office Park,Upanga mtaa wa Lugalo & Magore Dar es salaam
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!