Gari aina ya RAV4 kilitime inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
ID Doto mush
Make -Toyota
Model -RAV4 kilitime
Year - 2001
Doors -5
Seats -5
Engine size (cc) -1790
Number 0f Airbags -2
Fuel -Petrol
Color -White
Warranty: -No
New: -No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: tupigie: tembelea https://brbuyandsell.co.tz Tupo Amverton Office Park,Upanga mtaa wa Lugalo & Magore Dar es salaam
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!