10. Mar, 14:54
Utambulisho wa Tangazo: 2577304
TSh 185,000,000

2 Bedroom 2 Bathroom House for Sale Near Kidimbwi!

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
No of bedrooms
2
No of bathrooms
2
Amenities
  • Kuna Kiyoyozi
Maelezo

Cozy 2 bedroom and 2 bathroom (1 master bedroom), small kitchenette and living room. The house is for sale by the owner. Located in a low density neighborhood near Kidimbwi beach and close to all the amenities and transport (close to Shoppers supermarket, banks, restaurants,). Paved driveway with well kept garden. House is ready to move in.

Nyumba ya vyumba 2 na vyoo 2 (chumba 1 ni master bedroom), jiko dogo na sebule. Nyumba inauzwa na mmiliki. Iko katika mtaa mzuri karibu na pwani ya Kidimbwi na karibu na huduma zote na usafirishaji (karibu na supermarket kubwa ya Shoppers, benki, migahawa).Tayari kuna pavement na bustani iliyowekwa vizuri. Nyumba ipo kamili kuhamia.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
dnundu@gmail.com
Mwanachama tangu 10. Jun '13
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!