Gali ni fuso mitsubish ni mpya haina tatizo lolote njoo ukague bei ni ml 50 maongezi yapo INA sit 46 INA engine ya 6d22 karibu
(Mteja serious kuzingatiwa)
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!