SHAMBA LINA UZWA LIPO KIROMO BAGAMOYO KUTOKA BAGAMOYO ROD MPAKA LILIPO SHAMBA NI KM 1.5 SHAMBA LINA UKUBWA WA HEKAR 17 ILA HEKAR 10 ZIMEPIMWA NA ZINAHAT SAF SHAMBA LINA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMI MAJI DAWASKO UMEME UPO.NA PEMBEN YA SHAMBA KUNA SHULE YA SECONDARY VILE VILE KUNA KISIMA KIMECHIM WA NA KINATOA MAJI SAFI SHAMBA LINAUZWA KWA BEI YA KUTUPWA YA MILION 150 MAONGEZ
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!