Dar es salaam nasambaza bure nafika ulipo Mikoan natuma pia ila usafirishaji utalipia mteja karibuni nikuhudumie
Wallpaper 25000 rola moja (urefu mita 10 upana nusu mita 0.53) Gundi 10000 inabandika rola 3 hadi 4 ufundi kwa rola moja 15000
Wallpaper bila ufundi 30000 gundi 10000
Nafika hadi ulipo wa mikoani tunakutumia kwa bus au tuunganishe na mtu aliyopo dar ili akusafirishie Wallpaper
Karibu sana
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!