Nyumba haijakamilika ujenzi, ina master bedroom 14, pia juu gorofani ina eneo la restaurant na vyumba 4. Malengo na matumizi ya Jengo ni Hostel za wanafunzi wa DUCE. Michoro na ramani ya jengo ipo.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!