Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
6. Jul, 10:37
Utambulisho wa Tangazo: 1942843
TSh 70,000

Cotton Bed sheets

Ilala, Buguruni Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Walioko Mikoani tunatuma Kwa grama Nafuu,kwa anae chukua Kwanzia pcs 3 tumamtumia bure, kwa dar unaletewa kituoni.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Karibu ujipatie Mashuka 2 fronya 4 Mazuri Sana ya cotton yenye ubora WA hali ya Juu hayachuji, hayapauki haya toi vipele,ni Mashuka ya pamba ya Tanzania, tunasafirisha Mikoani kwa bei Nafuu Mno,yapo ya jumla na rejareja. Tunatoa zawadi kwa kila mteja wetu.Mwezi huu wa sabasaba tuna bei ya offa,Dar es salaam unaletewa Kituoni kwako,karibuni Sana wapenzi Wateja wetu.Tunasisitiza kila mteja Lazima apewe zawadi

Anna Tonga
Anna Tonga
Mwanachama tangu 16. Jun 5 Total Ads / 5 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!