Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
13. Oct, 11:04
Utambulisho wa Tangazo: 2194542
TSh 22,000

ONDOA HARUFU YA KIKWAPA HARAKA

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Self pickup is available or you can contact me for delivery details.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

Je unafahamu kwanini kikwapa hutoa harufu mbaya hata baada ya kuoga na kujisugua vizuri?
Unatumia deodorants lakini bado unanuka kikwapa?
Jibu ni sababu kuna bacteria kwenye kwapa ambao wanasababidha harufu kali. Sasa kutumia deodorant ambayo ni antipespirant sio njia sahihi kwasababu inaziba njia za utoaji jasho na jasho linabidi kutoka pamoja na taka mwili sasa unapozuia kutoka jasho unasababisha matatizo kiafya na pia huondoi hao bacteria.

Njia mbadala ni kutumia Forever Aloe Ever Shield Deodorant Stick ambayo faida zake ni;
•imetengenezwa na mmea wa aloevera
•haina aluminium salts na alcohol ambazo zinaziba matundu ya kutolea jasho
•inakata kabisa harufu mbaya kwa haraka sana
•hautawashwa kikwapa wala kuumwa kwapa
•utakua salama na kuepuka kansa ya matiti(kwa wanawake na wanaume)
•inatumiwa na wanawake na wanaume pia
•inaondoa weusi kwenye kwapa
•haiachi madoa kwenye nguo
•inaacha kwapa liwe soft siku nzima
•inakaa mpaka miezi 5
•ukiipaka asubuhi huitaji kupaka kitu usiku

Jipatie deodorant yako leo uenjoy,uwehuru na uwe na furaha na ngozi yenye afya.

Afya Na Virutubisho
Afya Na Virutubisho
Mwanachama tangu 24. Apr 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!