Gari inauzwa isuzu carry (Kirikuu)
Engine size 650 cc
Transmission : Manual
Bei : 3,300,000
Haina tatizo lolote
Inafaa kwa mahitaji binafsi au kufanyia biashara. Kwa yoyote ambaye yuko serious karibu tuwasiliane kwa namba
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!