Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
12. Jul, 10:28
Utambulisho wa Tangazo: 818779
TSh 8,500

Mabati

Ilala, Buguruni Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Tunauza Mabati bora ya kisasa yasiyopauka toka Kampuni za ALAF, SUN SHARE, na AFRINA kwa Bei ya Kiwandani.

Tuna Mabati ya Msouth IT 4 na IT 5 kwanzia 9,600/= hadi 17,200/= kwa mita 1
Tuna Mabati ya Vigae(versatile) kwanzia 16,500/= hadi 17,500/= kwa mita 1
*Tuna Mabati ya kawaida migongo midogo ya rangi na meupe kwanzia 20,000/= hadi 29,000/= kwa bati moja la mita 3

Tunayo Misumari ya Bati ya rangi, Kofia na Valley.

Tunapatika Buguruni Chama

Angella
Angella
Mwanachama tangu 4. Okt '12 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!