Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
12. Sep, 12:40
Utambulisho wa Tangazo: 1426911
TSh 350,000

Desktop All in One

Temeke, Kilakala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery within hrs depend on location ,

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Imetumika nje ya nchi
Aina
Hp
Laptop model
IQ500
Screen Size
22.0 Inches
RAM
4 GB
Hard Drive
500 GB
Maelezo

Oyee jipatie leo Desk top kaLi na ya kisasa zaid yaani ni All In One ,Ni desk top ya kisasa ambayo Screen size ni inches 22, CPU yake ipo ndani ya monitor, na Inafaaa kwa matumizi yeyote yale kama vile
Home/Office/School computer,
Library services
PS station
Designing program /service
na mengine mengi.....................
jipatie leo au kwa maitaji yako ya laptop na pc tofauti tofauti wewe sevu namba yetu tu tutafute tukupatie kilichobora zaid .

RASHTAM TECHNOLOGY SOLUTION(R-T-S)
Mwanachama tangu 25. Feb '18 16 Total Ads / 10 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!