Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
11. Jun, 12:09
Utambulisho wa Tangazo: 1439105
Tarehe ya Mwisho Kutuma Maombi 31. Dis

Uber drivers available

Kinondoni, Masaki Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Tarehe ya Mwisho Kutuma Maombi
2019-12-31
Jina la Mwajiri / Kampuni
Jobs
Aina ya Majukumu
Ngazi ya Juu
Maelezo

Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza.

SIFA ZAO
★Wanajua ufundi wa magari
★Wamepitia mafunzo ya udereva
★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu
★wastaarabu
★Wasafi

Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo chini.

jobsfacilitators@gmail
.com

Kwa gari ya mkataba hesabu yake ni Tsh 200,000/= kwa wiki.nahuduma zote za service zitafanya dereva . Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu (pia itategemea na hali ya gari kwa mda huo) baada ya hapo gari inamilikishwa kwa dereva. Kwa mda huo mwenye gari utakuwa umeshapatiwa jumla ya kiasi cha Tsh14,400,000/=.

Kwa gari ya hesabu .hesabu yake ni Tsh160,000/= kwa wiki. Huduma ya service itafanywa na mmiliki wa gari isipokuwa pancha na upepo wa tairi.Hii haina mda maalumu wa ukomo.

Gari zinazohitajika ni Ist,passo,vitz,Ractis,Raum,Ipsum na zingine ndogo ndogo

Wasiliana na sisi kupitia Email hapo chini. Tukuunganishe moja kwa moja na madereva wetu.

jobsfacilitators@gmail
.com

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
Dvice
Mwanachama tangu 8. Jun 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Omba Kazi Hii
Unahitaji akaunti kuomba kazi hii. Tafadhali Ingia/Jisajili.
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!