Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
8. Mac, 12:26
Utambulisho wa Tangazo: 1328692
TSh 30,000

Wallpaper

Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Tunauza Na Kufanya Fitting Za Wallpapers Kwa Usafi Na Ustadi Wa Hali Ya Juu Kamwe Hautajutia Kufanya Kazi Nasi Wallpaper Moja Inaanzia Tsh 30,000/= Hadi Tsh 60,000/= Kwa Roll Zinatofautiana Ubora Na Aina Urefu 10m Na Upana 0.53m Ina Cover Area Ya 4.5 Square Metres Ufundi Tsh 20,000/= Kwa Roll Moja Mafundi Wetu Wanafika Mikoa Yote Ya Tanzania Gundi Utapewa Buree Ukichukua Kuanzia 3 Utaletewa Buree Kwa Dsm Tu

The house of wallpaper
Mwanachama tangu 4. Mac 100 Total Ads / 100 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!

Jiunge na Mailshot yetu

Kujulishwa kwa punguzo za bei