Business ID 769041

Mama Joy nafaka na Lishe

Kinondoni, Kawe Dar Es Salaam Mwenge Sokoni
About Us

wasiliana nasi kwamahitaji ya nafaka na lishe mbalimbali kama mtama, ulezi, ngano, kunde, choroko, mbaazi,soya, karanga, unga lishe, dona, muhogo, dengu, mchele, maharage nk
Tunaosha nakusafisha bidhaa zetu ni safi na zina ubora wa kuaminika

Mama Joy nafaka na Lishe
Mwanachama tangu 9. Jul '17
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!