Business ID 592855

JILIPE MSHAHARA MWENYEWE

0\.5KM from singida MAIN ROAD
About Us

Better LIFE Community ni jamii kubwa yenye mchanganyiko wa wadau, madereva wa dalala/hiace, makondakta, wapigadebe, madereva wa bodaboda, bajaj, guta, machinga,mamalishe, fundiseremala, mwashi, fundi cherehani, wauza mbogamboga na matunda, na wengine wengi.
Jamii ilianzishwa february 2014 na wadau 5 kwa lengo la kutunza kipato chao na halafu kuijilipa mshahara mwisho wa mwezi. Mpaka sasa jamii hii imefikia watu 200 kutoka maeneo mbalimbali tanzania.
Mmoja wa wana jamii, bwana Joseph amita anasema" awali sikujua fedha zilikuwa zinaenda wapi, Nilikuwa nachoma chips. Jioni nilikuwa nampelekea boss mahesabu na kunipa changu elfu 30,000. lakini kwa muda wa miaka 3 hakuna nilichofanya. Lakini baada ya kuiiunga Better life maisha yamekuwa murua. Ni kama nafanya kazi ya serikali"
TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATU WOTE, WANAOFANYA KAZI ZA KUJIAJIRI AU SERIKALI AU MASHIRIKA BINAFSI KUJIUNGA NASI .
KIPATO CHAKO NDICHO MAISHA YAKO. Hakuna muuijza heshimu kipato chako utaendelea. Tunawafundisha watu waliojiajiri NAMNA YA KUJILIPA MSHAHARA,KUWEKA AKIBA, KUBANA MATUMIZI kwa wafanyakazi. HEBU jiulize kama umejiajiri kipato ni kiasi gani na matumizi yako yako vp na unatumiaje fedha.
FEDHA inahitaji uitunze ikutunze. Maelezo zaidi, tunao customer care wanapokea cmu tanzania nzima na kukuelekeza jinsi ya kufanya. POPOTE ULIPO UNAWEZA KUJIUNGA NASI NA UTAONA MATOKEA MAKUBWA.
ANZA NA MWAKA KWA HAPA KAZI TU NA UJIUNGE NA JAMII HII YA MAENDELEO
KARIBU SANA
CUSTOMER CARE NO: SAA 24 ALL DAYS

JILIPE MSHAHARA MWENYEWE
Mwanachama tangu 2. Jan '16
Verified via:
Email
Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!