Business ID 1133592

Inspire Hatua

Ubungo Kibangu, Riverside Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam 10359 Inspire Hatua inapatikana Ubungo Riverside.
About Us

Inspire Hatua ni mfumo wa kwanza wa elimu ya mtandao kwa vitendo Tanzania. Mfumo huu unamsaidia mwanafunzi kujifunza kupitia video ambazo zinaonyesha dhana tofauti tofauti ya masomo ya sayansi na mengineyo kwa teknolojia ya vikaragosi (animation).

Inspire Hatua
Mwanachama tangu 21. Mac '18
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!