Business ID 554922

Hydroponic Services

Dar es salaam, Mbagala
About Us

Tunafundisha wakulima kujitengenezea chakula cha mifugo yao kwa njia ya kihaidroponiki.Kilimo cha haidroponiki(hydroponic farming) ni kilimo kisichotumia udongo.Chakula cha wanyama na ndege kinachozalishwa kwa njia hii huitwa HYDROPONIC FODDER.Hydroponic fodder ni chakula kinacholiwa na wanyama wote.Ni chakula kinachookoa zaidi ya asilimia 50% ya gharama za chakula cha mifugo yako.Hydroponic fodder ni mlo kamili(main meal) na sio chakula cha ziada(supplements).hydroponic fodder itaokoa gharama zako za chakula cha mifugo kwa zaidi ya asilimia 50%.
Tunawafundisha wakulima jinsi ya kulima kihaidroponiki ili waweze kuokoa gharama.Hakuna haja ya kuumiza kichwa na vyakula vya madukani kulisha kuku,ng'ombe,mbuzi nk,tupo kwa ajili yako.
lipia 50000/= upate mafunzo,mbolea ya kihaidroponiki(hydroponiki nutrients) na pump ya kumwagilia fodda yako.wasiliana nasi kupitia namba zetu.

Hydroponic Services
Mwanachama tangu 22. Jun '15
Verified via:
Email
Wasiliana na Biashara
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!