Business ID 701972

Delight Realty

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam Mbezi
About Us

Unatafuata nyumba au chumba cha kupanga au biashara? Delight Realty wapo kukupa msaada na kukupunguzia usumbufu wa kupata pango kwa tabu kwa gharama nafuu sana. Na kwa wale wapangishaji wa nyumba au vyumba vya makazi na biashara, Delight Realty wapo kukupatia mpangaji sahihi na unae mwitaji.
Kwa wauzaji na wanunuzi wa nyumba, mashamba, viwanja pamoja na Mali aina nyingine Delight Realty yupo kwajiri yako. Kwa mawasiliano pigs simu mamba 0679060464.

Delight Realty
Mwanachama tangu 10. Mac '17
Verified via:
Email
Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!