Business ID 1863324

BF SUMA IRINGA

Iringa Mjini Iringa
About Us

SISI NI NANI?
Kmampuni ya BF SUMA ni kampuni ya kimarekani inayojishughulisha na utafiti, uzalishaji na usambazaji wa tiba lishe Afrika.
Bidhaa zake zinatumika kukinga na kutibu maradhi mbalimbali haswa yasiyo ambukizi kama Kisukari, Presha, Matatizo ya uzazi kwa wanawake na wanaume, matatizo ya mifupa, matatizo katika mmeng'enyo wa chakula kama Vidonda vya tumbo, bawasiri na kukosa choo au kupata choo kigumu.
Kampuni pia inatoa ajira kwa watu wote wanaohitaji kuwa mawakala wa bidhaa zake popote pale ulipo kwa gharama ndogo tuu ya Tsh. 46000/- tuu ambapo utasajiliwa, utapewa mafunzo na kuanza kazi. wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

WASIFU WA KAMPUNI

Nini maana ya neno BF SUMA?
BF SUMA ni kifupi cha maneno yafuatayo:
B - Bright
F - Future
S - Superior
U - Unique
M - Manufacturers of
A - America

HISTORIA YA KAMPUNI
Mnamo mwaka 1993 BF SUMA walianzia Hongkong {China} kama kampuni ya kuzalisha madawa ya mifupa na viungo {bones & Joints Pharmaceutical}

Mnamo Mwaka 1995 - BF SUMA kama kampuni ilipanuka na kufikia hatua ya kupata makazi yake nchini Marekani katika Jiji la Los Angeles na kuyafanya makazi haya kua Makao yake Makuu, kisha kuweka kiwanda cha Kuzalisha Virutubisho Lishe mjini hapo {Food Supplement}

Mnamo mwaka 2000: kampuni ilifanikiwa kupewa Vibali na Vyeti Vya kutambua Ubora wao kama:- G.M.P {Good Manufacturing Practice} na FDA {Food and Drugs Adminstration} na hapo baadae kampuni tena Ikaendelea Pata Vibali kama G.L.P {Good Laboratory Practise } na Halal:- kibali cha utambuliz kwa jamii ya kiislamu na imani kuwa halali kwa matumiz.

Mnamo mwaka 2004 - Kwa mara ya kwanza waliweza kufungua tawi lao Afrika ya Magharibi katika nchi ya Benin.
Mwaka 2011 - Kampuni ilisogea hadi Afrika Mashariki nchi jirani ya Kenya
Mwaka 2012 - Waliingia nchini Tanzania na kusajiliwa kisheria na kufanikiwa kupata kibali cha TFDA (TBS Kwasasa).
Makao makuu kwa Tanzania yapo Mlimani City, na kila mkoa una Ofisi ndogo.

Mwaka 2013 - Kampuni iliweza kuingia rasmi nchini Uganda, Nigeria, Zambia na maeneo mengine mengi hivyo kuendelea kupanua masoko yake katika nchi zingine za Africa.

Mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2018 BFSUMA Africa, ilikuwa na wasambazaji wasio pungua 100,000 na sasa ni zaidi.

BF SUMA IRINGA
Mwanachama tangu 12. Mei '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!