Business ID 2161011

Asili dhahabu general enterprises

Tanesco Lindi Mjini Lindi 65108 Tupo Lindi mjini,mtaa wa Tanesco
About Us
  1. Tunauza bidhaa asilia zifuatazo:
  • Himalayan pink salt
    Zipo chumvi ya unga na ya mawe ni virutubisho vya madini 84.
  • Mafuta ya nywele
    Yenye mchanganyiko wa unga wa chebe(siri ya wana wa kike wa Jamhuri ya Chad hasa jamii ya Dourbali wanakuza nywele zao kwa unga huu)
    Ina mnyonyo nyeusi yenye sifa ya kuboresha nywele,pia mafuta ya nazi mwali.
Asili dhahabu general enterprises
Mwanachama tangu 22. Jun '19
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!