KIDT VTC MOSHI,
CHUO CHA SERIKALI KILICHOPO MOSHI MJINI MKOANI KILIMANJARO:
KINAANDISKISHA MAFUNZO YA MUDA MREFU NA MFUPI KATIKA FANI ZIFUATAZAO
UMEME WA MAJUMBANI NA MAGARI
UCHOMELEAJI NA UUNGAJI VYUMA
FUNDI BOMBA NA MIFUMO YA MAJI
UJENZI NA UCHORAJI WA RAMANI
ELECTRONICS NA UFUNDI COMPUTER
USHONAJI NA MITINDO YA NGUO
UDEREVA
KOZI ZA MIEZI MIWILI ZA COMPUTER
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!