Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Business ID: 627725

Mineral Consultant Services

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam Ununio Area
About Us

Tunatoa huduma ya Consultant kwa Kampuni au watu binafsi wanaojihusisha na processing of minerals na extraction of metals from their ores. Tunajihusisha zaidi na Gold, Copper, Silver, Nickel na Coal. Mfano, Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako kubwa ni kupata dhahabu, then tutakuongoza katika njia sahihi ili uweze kupata dhahabu. Kama unapata poor recovery katika Plant/Mgodi then tutakushauri ni jinsi gani ya kuongeza recovery na kukushauri pia kuhusiana na Kemikali sahihi za kutumia katika mgodi wako. Pia, tunatoa huduma za training mbalimbali zinazohusiana na Mining, Mineral Processing na Metallurgy kwa Kampuni au kwa Mtu binafsi.

Gharama zetu ni nafuu sana na kampuni ina Engineers waliokaa katika sekta ya Mining na Mineral Processing/Extractive Metallurgy kwa zaidi ya miaka 5.

Ofisi zetu zipo maeneo ya Ununio mwisho

Karibuni

Mineral Consultant Services
Mwanachama tangu 29. May '13 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!