Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
Business ID: 596584

DCB Insurance

Mnazi Mmoja Kariakoo
About Us
  1. Kama ni mtoto, mke, wazazi au jamaa wanakutengemea wewe na kipato chako basi unahitaji Bima ya Maisha toka DCB COMMERCIAL BANK

  2. Mahitaji muhimu katika maisha si malazi na lishe tu bila kuwa na Bima kutoka DCB COMMERCIAL BANK. Fika kwenye matawi yetu nawe ukamilishe mahitaji muhimu.

  3. Ulinzi wa maisha yako, familia na mali zako si askari bali ni Bima yenye ulinzi kamilifu kutoka DCB COMMERCIAL BANK karibu mlinzi mkuu matawini mwetu leo

  4. Tunaahidi kukulinda kwa saa 24 za siku na siku 7 za wiki kikamilifu. Karibu Ukamilishie Ulinzi wa Maisha na Mali zako na Bima kutoka DCB COMMERCIAL BANK kwenye matawi yetu leo.

  5. DCB COMMERCIAL BANK imeongeza wingo wa huduma. Sasa inakuletea huduma ya Bima iliyojikita kulinda Maisha, Nyumba, na Mali zako kikamilifu Tembelea matawi yetu kwa maelezo zaidi.

DCB Insurance
Mwanachama tangu 19. Jan '16 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email

Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!