Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
Business ID: 514657

Chuo Cha Madini Mafuta na Gesi Shinyanga

Shinyanga Mjini Shinyanga Tupo km 4 kutoka Shinyanga mjini kama inavyoonyeshwa kwenye ramani ambatanishwa
About Us

Chuo cha Madini Shinyanga (ESIS) ni chuo binafsi kilichosajiliwa na Baraza la Vyuo vya Ufundi NACTE kwa namba ya usajili REG/EOS/041.

Tunatoa mafunzo hadi ngazi ya diploma kwenye maeneo ya
1. Utafutaji na Jiolojia ya Uchimbaji wa Madini,
2. Elimu ya Mafuta na Gesi.

Maombi ya kujiunga na chuo yanakaribishwa kuanzia 1 Machi hadi 30 Juni
Unaweza jaza fomu kwenye website ya chuo au pakua fomu jaza na utume kwenye anuani hii
Mkuu wa Chuo
Chuo cha Madini Shinyanga
SLP. 1016, Shinyanga

Pia unaweza kuchukua fomu kwenye vituo vyetu vilivyoko Mwanza, Arusha na Dodoma

Chuo Cha Madini Mafuta na Gesi Shinyanga
Mwanachama tangu 11. Ago '11 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!