Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
Business ID: 640589

Asset Yangu Company Limited

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam Bahari beach, Kondo
About Us

Asset Yangu Co. Ltd ni kamuni ya Tanzania iliyo anzishwa 2014 ikiwa na lengo la uwekezaji mkubwa katika sekta ya mali ikiwemo kuuza na kununua Nyumba na Ardhi katika sehemu mbalimbali Tanzania

Asset Yangu kwa sasa lmejikita katika uwekezaji mpya wa uzalishaji Matofali ya lnterlocking blocks unaotumia technology ya kisasa kwa kutumia mashine (Earth Mashine ) kutoka nchini Africa Kusini zenye uwezo wa kuzalisha matofali imara sana ya interlocking blocks ambayo unaweza kujengea ghorofa floor 10 kwa urefu kwenda juu pia yanadumu zaudi ya 100.

Affordable housing kwa kutumia matofali ya lnterocking blocks utaokoa zaidi ya 30% za gharama ya ujenzi wa kawaida, muda wa ujenzi ni mdogo kulinganisha na tofali za kawaida, Tofali hiziunaweza kujengea shule, kanisa, hospital, hotel au Nyumba ya kuishi kwa ujenzi huu wa kisasa wasiliana nasi leo tukushari piani vizuri kuwa na raman yako tukujulishe utahitaji tofali ngapi katika ujenzi wako.

Asset Yangu Company Limited
Mwanachama tangu 14. Jul '16 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email

Wasiliana na Biashara
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!