Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
16. Nov, 10:31
Utambulisho wa Tangazo: 2285811
TSh 9,900

Mafuta ya Upako

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Seller offers delivery

We deliver within 24hours of order

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

pakaa mafuta ya mchaganyiko wa mimea iliyowawezesha ma nabii wote kutekeleza wajibu waliopewa na Mungu. Bidhaa hii haibagui dini wala umri.
Mafuta haya yanaondoa mikosi, pepo mbaya, yanavuta wateja kwenye biashara, yanaleta amani ndani ya nyumba, yanasaidia watoto kutoshambuliwa na maradhi ya pepo, yanatengeneza kinga dhidi ya misukosuko ya kimaisha. Mafuta haya yanatokana na mimea ambayo ilitumika tangu kuwepo kwa dunia, sema tu siri haikuwa imegundulika.
  
Tahadhari; wanadamu baadhi akifanikiwa anakosa maadili, usije nyanyasa watu kwa sababu ya pesa. Mafuta haya yametokana na mimea ya Mungu. Majibu ni haraka. Nakuadi, mafuta haya yasipo kusaidia ntakurudishia mara mbili ya pesa ulizolipa.  

Yametengenezwa na: 
Doctor Asumani,  Mtaalamu  Acupressure, Aromatherapy, Herbal Medicine, Hydrotherapy

Upako 777  is formulated from 100% Essential oil plants which were used since the ancient times to attract prosperity, Abundance, promote happiness and peace through powerful effects of clearing negativity. It can be used for any one who is seeking success in marriage, employments, customers attraction, studies, production  and to clear negative influences from the surrounding environments.

 

Asumani
Asumani
Mwanachama tangu 6. Jun '17 12 Total Ads / 12 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!