Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
5. Oct, 08:08
Utambulisho wa Tangazo: 2173378
TSh 70,000

DETOXING SUPPLIMENT

Kinondoni, Makumbusho Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

Ijue ALOEVERA GEL, kinywaji bora cha afya chenye aloe vera nyingi,( 97%).
Kinywaji hiki siyo dawa bali ni chakula chenye utajiri wa Virutubisho (75), Vitamini (14) na Madini (20)mbalimbali.

FAIDA ZAKE KWA AJIRI YA AFYA YAKO

 1. Kuondoa sumu mwilini zitokanazo na hewa chafu, vumbi, vyakula vilivyolimwa na mbolea na dawa zenye kemikali, sumu, madawa, vyakula, pombe na vileo, nk.
 2. Kuondoa na kuepusha vimbe sehemu yoyote mwilini, mfano mji wa mimba, shingoni, nk.
 3. Kuepusha magonjwa na kuua vijidudu kama virusi. bacteria na fangasi. 4. Kusafisha utumbo mkubwa wa chakula na:
  ~kuondoa mafuta yanayoganda,
  ~kuzuia na kusaidia gesi tumboni,
  ~kupata choo vizuri na kuzuia constipation, ~kusaidia mmeng'enyo wa chakula,
  ~ Kusaidia vidonda vya ndani (ulcers) na nje ya tumbo.
 4. Kuongeza kinga mwilini.
 5. Inasaidia maumivu ya viungo kama miguu na mgongo.
 6. Kusaidia uponyaji wa magonjwa ya umri km kisukari, presha, nk.
 7. Kusaidia kuboresha matatizo mbalimbali ya ngozi km;
  ~kuifanya iwe nzuri na ya kuvutia,
  ~kuifanya iwe nyevunyevu,
  ~kuiondoa ukavu na mikunjokunjo,
  ~kutengeneza seli mpya na kuondoa seli zilizokufa.
  ~Kusaidia magonjwa mbalimbali ya ngozi km;aleji, muwasho, chunusi, vinundu vidogodogo vyeusi, makovu, mkanda wa jeshi na upele,
 8. Kusaidia uponyaji wa ugonjwa wa kupooza (STROKE).
 9. Inasafisha mzunguko wa damu, inaimarisha mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda.
 10. Inasaidia kutibu harufu mbaya mdomoni kwa kuua bacteria wabaya wanaokaa kwenye utumbo wa chakula na kuleta harufu mbaya mdomoni.
 11. Ni chakula, ina vitamini, madini, amino acids, (protini), na inasaidia ukuaji wa mwili.
 12. Husaidia uchovu sugu, kutopata usingizi vizuri (insomnia), hangover, msongo wa mawazo, (Stress), na mfumo wa fahamu na neva (nervous system).
 13. Inaondoa baridi na ganzi kwenye viungo vya mwili, mfano miguu, mikono na vidole.
health_care _management
Mwanachama tangu 4. Oct 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!